Swali: Ikiwa muadhini ataadhini kabla ya kuingia wakati – je, arudie adhaana?

Jibu: Ndiyo, arudie adhaana. Isipokuwa kama kuna waadhini wengine karibu naye… basi katika hali hiyo jambo ni lenye wasaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27025/هل-يعيد-الموذن-لو-ثبت-انه-اذن-قبل-الوقت
  • Imechapishwa: 21/03/2025