Swali: Je, Malaika wawili, Munkar na Nakiyr, wanamuuliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kaburini mwake kama wanavyowauliza wengine?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametueleza kwamba kila maiti huulizwa kuhusu Mola wake, kuhusu dini yake na kuhusu Mtume wake. Hakutueleza kuhusu yeye mwenyewe (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Allaah ndiye anajua zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2581/سوال-منكر-ونكير-للنبي-صلى-الله-عليه-وسلم-في-قبره
- Imechapishwa: 28/03/2026
Swali: Je, Malaika wawili, Munkar na Nakiyr, wanamuuliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kaburini mwake kama wanavyowauliza wengine?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametueleza kwamba kila maiti huulizwa kuhusu Mola wake, kuhusu dini yake na kuhusu Mtume wake. Hakutueleza kuhusu yeye mwenyewe (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Allaah ndiye anajua zaidi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2581/سوال-منكر-ونكير-للنبي-صلى-الله-عليه-وسلم-في-قبره
Imechapishwa: 28/03/2026
https://firqatunnajia.com/mtume-pia-amehojiwa-ndani-ya-kaburi/