Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) si amezikwa ndani ya msikiti?
Jibu: Nyumbani kwa ´Aaishah na nyumba baadaye ikaingizwa ndani ya msikiti.
Swali: Kwa hivyo haisemwi kuwa yuko ndani ya msikiti?
Jibu: Hapana, haisemwi hivo. Yuko ndani ya nyumba. Lakini baadaye al-Waliyd bin ´Abdil-Malik alipopanua msikiti ndipo akaingizwa ndani. Alikosea kufanya hivo. Hata hayuko ndani ya msikiti. Nyumba ndio iko ndani ya msikiti. Nyumba ni yenye kujitegemea.
Swali: Vipi kuba?
Jibu: Kuba iliwekwa na baadhi ya waturuki waliokuja baadaye katika karne ya tisa au ya kumi. Ni kosa pia walilofanya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24583/ما-الصواب-في-موضع-قبر-الرسول-ﷺ
- Imechapishwa: 07/11/2024
Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) si amezikwa ndani ya msikiti?
Jibu: Nyumbani kwa ´Aaishah na nyumba baadaye ikaingizwa ndani ya msikiti.
Swali: Kwa hivyo haisemwi kuwa yuko ndani ya msikiti?
Jibu: Hapana, haisemwi hivo. Yuko ndani ya nyumba. Lakini baadaye al-Waliyd bin ´Abdil-Malik alipopanua msikiti ndipo akaingizwa ndani. Alikosea kufanya hivo. Hata hayuko ndani ya msikiti. Nyumba ndio iko ndani ya msikiti. Nyumba ni yenye kujitegemea.
Swali: Vipi kuba?
Jibu: Kuba iliwekwa na baadhi ya waturuki waliokuja baadaye katika karne ya tisa au ya kumi. Ni kosa pia walilofanya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24583/ما-الصواب-في-موضع-قبر-الرسول-ﷺ
Imechapishwa: 07/11/2024
https://firqatunnajia.com/mtume-hayuko-msikitini-yuko-ndani-ya-nyumba/