163 – Nilimuuliza kuhusu mtu aliyepitwa na swalah yeye na watu wa nyumbani kwake. Je, anapaswa kuadhini?

Jibu: Hapana, ili asisababishe usumbufu, kwani tayari adhaana imeshatolewa kwa ajili ya swalah. Bali itatosha yeye kukimu tu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 72
  • Imechapishwa: 28/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´