Swali: Baada ya kuswali Maghrib niliona mtu mwingine amesimama mwenyewe akiswali Maghrib na nikawa nimependelea kuswali pamoja naye. Je, nitoe Tasliym pamoja naye au nizidishe Rak´ah ya nne?
Jibu: Sijui dalili yoyote ya kwamba unatakiwa uzidishe Rak´ah ya nne. Swali na utoe Tasliym naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
Swali: Baada ya kuswali Maghrib niliona mtu mwingine amesimama mwenyewe akiswali Maghrib na nikawa nimependelea kuswali pamoja naye. Je, nitoe Tasliym pamoja naye au nizidishe Rak´ah ya nne?
Jibu: Sijui dalili yoyote ya kwamba unatakiwa uzidishe Rak´ah ya nne. Swali na utoe Tasliym naye.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
https://firqatunnajia.com/mtu-anaswali-maghrib-kwa-mara-ya-pili/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket