Mtu anapata baraka na thawabu za daku kwa kula tende au tunda tu?

Swali: Mfungaji akila baadhi ya tende muda kidogo kabla ya kuingia Fajr anapata baraka ya daku[1]?

Jibu: Ndio, anapata baraka ya daku kwa kitu chochote atachokula japokuwa kitakuwa kidogo. Kitu hicho kinaweza kuwa tende, chakula, tunda au kitu kingine. Mtu anapata baraka ya daku.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/hadiyth-kuleni-daku/ 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/17854
  • Imechapishwa: 19/07/2018