Swali: Nikinunua misahafu, vijitabu, vipeperushi au vitabu vya elimu na nikavitawanya inaingia katika Hadiyth isemayo:
“Anapofariki mwanaadamu hukatika matendo yake isipokuwa vitu vitatu; swadaqah yenye kuendea, elimu yenye kunufaika kwayo au mtoto mwema mwenye kumuombea”?
Jibu: Ndio, vinaingia humo. Ukinunua vitabu vyenye manufaa na ukavitawanya inaingia katika elimu yenye kunufaika kwayo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Nikinunua misahafu, vijitabu, vipeperushi au vitabu vya elimu na nikavitawanya inaingia katika Hadiyth isemayo:
“Anapofariki mwanaadamu hukatika matendo yake isipokuwa vitu vitatu; swadaqah yenye kuendea, elimu yenye kunufaika kwayo au mtoto mwema mwenye kumuombea”?
Jibu: Ndio, vinaingia humo. Ukinunua vitabu vyenye manufaa na ukavitawanya inaingia katika elimu yenye kunufaika kwayo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/mtu-ananufaika-baada-ya-kufa-kwa-vitabu-alivyoacha/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket