Swali: Mimi nina pesa za ribaa. Ni vipi nitajikwamua nazo? Je, inafaa nikajenga nazo msikiti?
Jibu: Usijenge nazo msikiti. Utajikwamua nazo kwa kujizigawa kwa watu wenye kuhitaji. Unafanya hivo kwa ajili ya kujinasua na si kwa ajili ya kutoa swadaqah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
- Imechapishwa: 11/02/2022
Swali: Mimi nina pesa za ribaa. Ni vipi nitajikwamua nazo? Je, inafaa nikajenga nazo msikiti?
Jibu: Usijenge nazo msikiti. Utajikwamua nazo kwa kujizigawa kwa watu wenye kuhitaji. Unafanya hivo kwa ajili ya kujinasua na si kwa ajili ya kutoa swadaqah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
Imechapishwa: 11/02/2022
https://firqatunnajia.com/mtu-anafanya-nini-akiwa-na-pesa-za-ribaa-asizozitaka/