Mtu ambaye hakufikiwa na ulinganizi lakini ameshirikisha

Swali 19: Vipi kuhusu mtu ambaye haukumfikia ulinganizi duniani, hata hivyo alifanya shirki?

Jibu: Allaah ndiye atakayeamua cha kumfanya. Hukumu yake duniani ni mshirikina na Aakhirah atajaribiwa kama watu wa kipindi cha kukatika utume.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
  • Imechapishwa: 24/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´