Mtoto wa miaka 7 msikitini kwa ajili ya Fajr

Swali 272: Je, inasuniwa kumleta mtoto wa miaka saba msikitini hata kwa ajili ya swalah ya Fajr?

Jibu: Ndiyo, kabisa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 99
  • Imechapishwa: 16/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´