Mtoto wa kiume tu ndiye anayenyolewa tofauti na mtoto wa kike

574 – Shaykh wetu amesema: Kinanyolewa kichwa cha mtoto wa kiume na hakinyolewi kichwa cha mtoto wa kike.

Nikamuuliza: Kusema kwamba sababu ya kunyolewa ni kuondoa madhara haimuhusu pia msichana?

Jibu: Shaykh wetu akanyamaza kidogo, kisha akasema: Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 214
  • Imechapishwa: 06/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´