Swali: Vipi tutatangamana na watoto wadogo ambao wanadumu kwa kuuliza Sifa za Allaah (Subhaanahu wa Ya´ala)?

Jibu: Wafunze kwa ufupi. Usiingie kwa undani sana. Waeleze ni nini maana ya sifa na ni nini maana ya jina na fanya hivo kwa kufupisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331116.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015