Swali: Kuna dalili ipi inayosema kuwa mwanaume ambaye bado hajabaleghe akizini hauliwi?

Jibu: Dalili ni Hadiyth inayosema:

“Kalamu imenyanyuliwa kwa watu aina tatu; aliyelala mpaka anapoamka, mtoto mpaka anapobaleghe na mwendawazimu mpaka anapopata akili.”[1]

Huyu kalamu imenyanyuliwa kwake. Hata hivyo anatakiwa kuadhibiwa.

[1] Abu Daawuud (4405) na Ahmad (1362). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”al-Irwaa’” (2/5).

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 251
  • Imechapishwa: 10/03/2025