Swali: Afanye nini ambaye hakuweza kuwalisha masikini, kuacha huru mtumwa, kumvisha nguo wala kufunga?
Jibu: Asubiri. Wakati atapokuwa na uwezo wa kutoa kafara, atafanya hivo. Kafara itabaki katika dhimma yake; pindi atakapoweza, atatoa kafara.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Swali: Afanye nini ambaye hakuweza kuwalisha masikini, kuacha huru mtumwa, kumvisha nguo wala kufunga?
Jibu: Asubiri. Wakati atapokuwa na uwezo wa kutoa kafara, atafanya hivo. Kafara itabaki katika dhimma yake; pindi atakapoweza, atatoa kafara.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
Imechapishwa: 28/06/2024
https://firqatunnajia.com/mtoa-kafara-hana-uwezo/