Swali 812: Je, mtazamo wa kwanza[1] unajumuisha picha na TV?
Jibu: Dhahiri ni ndiyo, kwa sababu ya kuwapo fitina.
[1] Jariyr bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza: ”Nilimuuliza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu mtazamo wa ghafla ambapo akaniamrisha kugeuza macho yangu mbali.” ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema kuwa ni Hadiyth nzuri na Swahiyh. (Sunan at-Tirmidhiy (2777). )
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
- Imechapishwa: 17/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 812: Je, mtazamo wa kwanza[1] unajumuisha picha na TV?
Jibu: Dhahiri ni ndiyo, kwa sababu ya kuwapo fitina.
[1] Jariyr bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza: ”Nilimuuliza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu mtazamo wa ghafla ambapo akaniamrisha kugeuza macho yangu mbali.” ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema kuwa ni Hadiyth nzuri na Swahiyh. (Sunan at-Tirmidhiy (2777). )
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
Imechapishwa: 17/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/mtazamo-wa-kwanza-kwenye-tv/