Mswaliji anayepiga makofi bila sababu

Swali 214: Vipi kuhusu anayepiga makofi kwa mzaha?

Jibu: Ikiwa ni kwa wingi basi swalah yake hubatilika, na ikiwa ni kidogo basi hapana; kama aina nyingine za mzaha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 90
  • Imechapishwa: 01/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´