Msimamo kwa ndugu ambaye ni Shiy´iy anayeingiza utata nyumbani

Swali: Ami yangu ni Shiy´iy na huenda akawa ni Raafidhwiy. Anawatia utata familia yangu. Je, nimtangazie uadui wake na khaswa kwa kuwa familia yangu inaniamini mimi zaidi kuliko yeye?

Jibu: Hii ni fursa. Msuse na uzungumze haki mbele ya uso wake na umfanyie Tabdiy´ midhali hii ndio hali yake.

Lakini hata hivyo ukiweza kumnasihi na kumlingania fanya hivyo. Vinginevyo fanya kama tulivyotokea kusema punde tu.

Check Also

ISIS wana makosa tele

Swali: Ni ipi hukumu ya msemo huu: “Ninajua kuwa ISIS ni Khawaarij, lakini hata hivyo …