Swali: Ami yangu ni Shiy´iy na huenda akawa ni Raafidhwiy. Anawatia utata familia yangu. Je, nimtangazie uadui wake na khaswa kwa kuwa familia yangu inaniamini mimi zaidi kuliko yeye?
Jibu: Hii ni fursa. Msuse na uzungumze haki mbele ya uso wake na umfanyie Tabdiy´ midhali hii ndio hali yake.
Lakini hata hivyo ukiweza kumnasihi na kumlingania fanya hivyo. Vinginevyo fanya kama tulivyotokea kusema punde tu.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://ar.miraath.net/fatwah/11322
- Imechapishwa: 21/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)