Swali: Kuna mlinganizi katika nchi yetu amepitisha uasi kwa aina ya maandamano na migomo dhidi ya mtawala mmoja wa nchi za Ghuba kwa hoja ya kwamba hatimizi masharti ya utawala. Je, ulinganizi huu unahesabika ni katika ulinganizi wa Khawaarij?
Jibu: Apuuzwe. Achane naye na muepuke. Ikiwa mnaweza kueleza mamlaka ambao wanaweza kumsitisha na kusafisha shari zake, ni lazima mfanye hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu’
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)