Swali: Katika hatua za kutembea kwenda kuswali, ni bora kwenda msikiti ulio karibu na nyumba au ule ulio mbali?
Jibu: Kama msikiti wa karibu umenyooka na kundi lake la kuswali limenyooka, basi kila sehemu iliyo mbali zaidi huwa na fadhilah zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu wenye malipo makubwa zaidi katika swalah ni wale walio mbali zaidi kwa kutembea.”
Hivyo msikiti wa mbali zaidi ndio bora muda wa kuwa kwenda kwake katika msikiti huo wa mbali hakuleti madhara juu ya msikiti wa karibu, kuharibu swalah ya mkusanyiko wala kukuletea shida. Katika hali hiyo hakuna tatizo kwenda msikiti wa mbali zaidi kwa ajili ya kupata malipo zaidi kwa wingi wa hatua za kutembea.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1172/افضلية-الصلاة-في-المسجد-البعيد
- Imechapishwa: 01/02/2026
Swali: Katika hatua za kutembea kwenda kuswali, ni bora kwenda msikiti ulio karibu na nyumba au ule ulio mbali?
Jibu: Kama msikiti wa karibu umenyooka na kundi lake la kuswali limenyooka, basi kila sehemu iliyo mbali zaidi huwa na fadhilah zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu wenye malipo makubwa zaidi katika swalah ni wale walio mbali zaidi kwa kutembea.”
Hivyo msikiti wa mbali zaidi ndio bora muda wa kuwa kwenda kwake katika msikiti huo wa mbali hakuleti madhara juu ya msikiti wa karibu, kuharibu swalah ya mkusanyiko wala kukuletea shida. Katika hali hiyo hakuna tatizo kwenda msikiti wa mbali zaidi kwa ajili ya kupata malipo zaidi kwa wingi wa hatua za kutembea.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1172/افضلية-الصلاة-في-المسجد-البعيد
Imechapishwa: 01/02/2026
https://firqatunnajia.com/msikiti-wa-karibu-au-wa-mbali-zaidi/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket