Msafiri wa kwenda na kurudi siku hiyohiyo anafupisha?

Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha na kujumuisha kwenye masafa ambayo yanazidi 80 km pamoja na kujua ya kwamba nitarejea siku hiyo hiyo?

Jibu: Ndio. Nyinyi mnajua kuwa masafa ambayo ni 80 km na zaidi, inajuzu kufupisha swalah hata kama ataenda siku hiyo hiyo na kurudi siku hiyohiyo. Kwa kuwa hii inazingatiwa kuwa ni safari.

Check Also

Ibn ´Uthaymiyn msafiri kuswali Maghrib nyuma ya mkazi anayeswali ´Ishaa

Swali: Nimenuia mkusanyiko wa kuchelewesha nitapofika Makkah. Nimefika wakati wa swalah ya pili. Nifanye nini? …