Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha na kujumuisha kwenye masafa ambayo yanazidi 80 km pamoja na kujua ya kwamba nitarejea siku hiyo hiyo?
Jibu: Ndio. Nyinyi mnajua kuwa masafa ambayo ni 80 km na zaidi, inajuzu kufupisha swalah hata kama ataenda siku hiyo hiyo na kurudi siku hiyohiyo. Kwa kuwa hii inazingatiwa kuwa ni safari.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5431
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha na kujumuisha kwenye masafa ambayo yanazidi 80 km pamoja na kujua ya kwamba nitarejea siku hiyo hiyo?
Jibu: Ndio. Nyinyi mnajua kuwa masafa ambayo ni 80 km na zaidi, inajuzu kufupisha swalah hata kama ataenda siku hiyo hiyo na kurudi siku hiyohiyo. Kwa kuwa hii inazingatiwa kuwa ni safari.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5431
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/msafiri-wa-kwenda-na-kurudi-siku-hiyohiyo-anafupisha/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)