Swali: Je, inafaa kwa mwanaume anayetaka kusafiri mchana wa Ramadhaan kumjamii mke wake kabla ya kuanza safari?
Jibu: Haifai kwake kufanya hivo. Haifai kwake kumjamii ilihali amefunga na mwanamke pia amefunga. Haifai kwake kufungua mpaka auache mji wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23857/هل-يجوز-الوطء-لو-اراد-السفر-نهار-رمضان
- Imechapishwa: 20/05/2024
Swali: Je, inafaa kwa mwanaume anayetaka kusafiri mchana wa Ramadhaan kumjamii mke wake kabla ya kuanza safari?
Jibu: Haifai kwake kufanya hivo. Haifai kwake kumjamii ilihali amefunga na mwanamke pia amefunga. Haifai kwake kufungua mpaka auache mji wake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23857/هل-يجوز-الوطء-لو-اراد-السفر-نهار-رمضان
Imechapishwa: 20/05/2024
https://firqatunnajia.com/msafiri-kujamii-mchana-wa-ramadhaan-kabla-ya-kuanza-safari/