Swali: Je, msafiri aswali kwa kufupisha au kwa kukamilisha ikiwa msafiri anaishi peke yake karibu na msikiti?
Jibu: Akiwa anaishi peke yake basi aswali na mkusanyiko Rak´ah nne. Asifupishe isipokuwa anapokuwa na ndugu yake. Kwa msemo mwingine ndugu wawili na zaidi. Lakini akiwa peke yake asiswali basi aswali na wengine kwa sababu swalah ya mkusanyiko ni lazima. Katika hali hiyo aswali pamoja nao na aswali kikamilifu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22570/هل-يقصر-المسافر-وحده-ام-يتم-مع-الجماعة
- Imechapishwa: 06/07/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)