Nilimuuliza Ahmad:
”Unasemaje juu ya mtu ambaye amerejea nyumbani kwa mkewe katika Ramadhaan wakati wa mchana na mke wake pia hakufunga kwa sababu ya hedhi yake.” Akasema: ”Sipendelei amjamii. Ajizuilie kumjamii wakati anaporejea nyumbani kutoka safarini.”
Ishaaq amesema vivyo hivyo kama Ahmad na akaongeza:
”Akijamii mchana basi hatolazimika kutoa kafara.”
Ishaaq pia amesema vivyo hivyo.
- Muhusika: Imaam Ishaaq bin Mansuur al-Kawsaj al-Marwaziy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad bin Hanbal wa Ishaaq bin Raahuuyah (667)
- Imechapishwa: 01/03/2025
Nilimuuliza Ahmad:
”Unasemaje juu ya mtu ambaye amerejea nyumbani kwa mkewe katika Ramadhaan wakati wa mchana na mke wake pia hakufunga kwa sababu ya hedhi yake.” Akasema: ”Sipendelei amjamii. Ajizuilie kumjamii wakati anaporejea nyumbani kutoka safarini.”
Ishaaq amesema vivyo hivyo kama Ahmad na akaongeza:
”Akijamii mchana basi hatolazimika kutoa kafara.”
Ishaaq pia amesema vivyo hivyo.
Muhusika: Imaam Ishaaq bin Mansuur al-Kawsaj al-Marwaziy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad bin Hanbal wa Ishaaq bin Raahuuyah (667)
Imechapishwa: 01/03/2025
https://firqatunnajia.com/msafiri-amerejea-nyumbani-kwa-mke-wakati-wa-ramadhaan/