Swali: Je, ni lazima kwa mtu kutoa salamu akipita mbele ya makaburi?
Jibu: Ni bora kufanya hivyo, lakini si jambo la lazima. Ni Sunnah na jambo linalopendekezwa. Hivyo kama atasimama karibu na ukuta wa makaburi na kutoa salamu, basi hilo ni jambo jema.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28811/هل-يشرع-دعاء-زيارة-القبور-للمار-بها
- Imechapishwa: 25/04/2025
Swali: Je, ni lazima kwa mtu kutoa salamu akipita mbele ya makaburi?
Jibu: Ni bora kufanya hivyo, lakini si jambo la lazima. Ni Sunnah na jambo linalopendekezwa. Hivyo kama atasimama karibu na ukuta wa makaburi na kutoa salamu, basi hilo ni jambo jema.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28811/هل-يشرع-دعاء-زيارة-القبور-للمار-بها
Imechapishwa: 25/04/2025
https://firqatunnajia.com/mpita-njia-kuyasalimia-makaburi/