Swali: Je, unaona kuwa ni miongoni mwa maslahi ya ulinganizi vijana wakaacha kufanyia kazi baadhi ya Sunnah…
Jibu: Kabla ya kujibu hili nataka kusema kwamba mpira sio katika njia za kulingania katika Uislamu. Hakuna wanaofanya mpira kuwa njia miongoni mwa njia za kulingania isipokuwa tu wajinga. Wale wasiokuwa na elimu ya Qur-aan na Sunnah ndio wanaofanya mpira kuwa njia miongoni mwa njia za kulingania.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=q0J5cEpymbM
- Imechapishwa: 26/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)