Swali: Sisi Sudan kuna kundi linalolingania katika ´Aqiydah ya Salaf na kundi hili linaweka mudiri mkuu na viongozi wengine mbalimbali na wanawalazimisha wanachama wao kumtii mudiri huyu katika mambo ya Ijtihaad…
Jibu: Mpangilio kama huu sijui kuwa una asli katika Shari´ah. Uongozi unakuwa kwa mtawala wa waislamu. Yeye ndiye anatakiwa kusikizwa na kutiiwa katika yaliyo mema na si katika maasi. Hili ni kosa kubwa kuwepo kundi lililokusanyika na kuita kiongozi ambaye wanamtii katika yale [yote] anayosema.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://sudansalaf.blogspot.no/2014/03/blog-post_9469.html
- Imechapishwa: 30/08/2020
Swali: Sisi Sudan kuna kundi linalolingania katika ´Aqiydah ya Salaf na kundi hili linaweka mudiri mkuu na viongozi wengine mbalimbali na wanawalazimisha wanachama wao kumtii mudiri huyu katika mambo ya Ijtihaad…
Jibu: Mpangilio kama huu sijui kuwa una asli katika Shari´ah. Uongozi unakuwa kwa mtawala wa waislamu. Yeye ndiye anatakiwa kusikizwa na kutiiwa katika yaliyo mema na si katika maasi. Hili ni kosa kubwa kuwepo kundi lililokusanyika na kuita kiongozi ambaye wanamtii katika yale [yote] anayosema.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://sudansalaf.blogspot.no/2014/03/blog-post_9469.html
Imechapishwa: 30/08/2020
https://firqatunnajia.com/mpangilio-huu-wa-answaar-us-sunnah-hauna-asli-katika-shariah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)