Swali 293: Ni mpaka gani inaruhusiwa kuliswalia kaburi?

Jibu: Lililo karibu zaidi ni muda wa hadi mwezi mmoja.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 107
  • Imechapishwa: 22/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´