Swali: Tumejifunza kuwa Pepo iko juu mbinguni. Moto uko wapi?
Jibu: Moto uko ardhini chini kabisa ya walio chini. Lakini utaoneshwa siku ya Qiyaamah. Amesema (Ta´ala):
وَبُرِّزَتِ الْجَحِيمُ لِمَن يَرَىٰ
“Moto uwakao vikali mno utakaoneshwa kwa aonaye.”[1]
[1] 79:36
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
- Imechapishwa: 23/11/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket