Mlinganizi ambaye maneno yanapingana na vitendo vyake

Swali: Ni ipi hukumu ya mtu ambaye anawahimiza watu waipe nyongo dunia lakini yeye anaikusanya.

Jibu: Kwa msemo mwingine ni kwamba anawanasihi watu wachume vidogo vitu vya kidunia lakini yeye anaikusanya kwa utukufu. Ni ipi hukumu yake? Huyu ni miongoni mwa wale ambao maneno yake yanapingana na matendo yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Khaatam-ul-Mursaliyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-10/lqa-mftoh-godian.mp3
  • Imechapishwa: 26/09/2022