Mlango wa wajinga ndio umefungwa, na si wa wanazuoni

Swali: Vipi kuhusu ambaye anasema kuwa mlango wa Ijtihaad umefungwa?

Jibu: Mlango wa Ijtihaad wake yeye, mlango wa mjinga umefungwa. Ama Ijtihaad ya watu wa elimu haijafungwa. Hata hivyo kwa wajinga umefungwa. Hawaruhusiwi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28499/ما-صحة-القول-بان-باب-الاجتهاد-مقفل
  • Imechapishwa: 19/04/2025