Swali 80: Je, mtu anaweza kusema kuwa mkono mwingine wa Allaah ni wa kushoto?
Jibu: Imethibiti katika Hadiyth Swahiyh:
”Lakini ni mkono wa kuume wenye baraka.”
Kwa ajili hiyo akasema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Mikono Yake yote ni ya kuume.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 49
- Imechapishwa: 16/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 80: Je, mtu anaweza kusema kuwa mkono mwingine wa Allaah ni wa kushoto?
Jibu: Imethibiti katika Hadiyth Swahiyh:
”Lakini ni mkono wa kuume wenye baraka.”
Kwa ajili hiyo akasema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Mikono Yake yote ni ya kuume.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 49
Imechapishwa: 16/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/mkono-wa-kuume-uliobarikiwa/