Swali: Vipi kuhusu mkojo wa ngamia dume?

Jibu: Mkojo wa ngamia wa kiume na wa kike wote si najisi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24690/حكم-بول-الذكر-والانثى-من-الابل
  • Imechapishwa: 24/11/2024