187- Nilisoma mbele ya baba yangu:
“Msafiri mkojo umempata na hana maji. Inakuweje?”
Akajibu:
“Ni kama mwenye janaba; afanye Tayammum.”
- Muhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/143)
- Imechapishwa: 26/03/2021
187- Nilisoma mbele ya baba yangu:
“Msafiri mkojo umempata na hana maji. Inakuweje?”
Akajibu:
“Ni kama mwenye janaba; afanye Tayammum.”
Muhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/143)
Imechapishwa: 26/03/2021
https://firqatunnajia.com/mkojo-mwilini-na-amekosa-maji/