4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe,
bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe.
5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki,
bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mithali 12:03
- Imechapishwa: 17/01/2020
4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe,
bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe.
5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki,
bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mithali 12:03
Imechapishwa: 17/01/2020
https://firqatunnajia.com/mke-mwenye-tabia-nzuri-ni-taji-ya-mumewe/