Swali: Mke wangu namuamsha sana ili aswali swalah ya alfajiri. Lakini hata hivyo haitikii na badala yake anaswali siku zote baada ya jua kuchomoza. Ni upi wajibu kwangu?
Jibu: Swalah yake si sahihi. Ikiwa haitikii na akaamka kuswali alfajiri tengana naye. Huyu hawi muislamu. Anayepoteza swalah ya alfajiri sio muislamu. Akitubu Allaah atamsamehe. Katika hali hiyo unaweza kuendelea kuishi naye. Vinginevyo utafute mwengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
- Imechapishwa: 23/07/2017
Swali: Mke wangu namuamsha sana ili aswali swalah ya alfajiri. Lakini hata hivyo haitikii na badala yake anaswali siku zote baada ya jua kuchomoza. Ni upi wajibu kwangu?
Jibu: Swalah yake si sahihi. Ikiwa haitikii na akaamka kuswali alfajiri tengana naye. Huyu hawi muislamu. Anayepoteza swalah ya alfajiri sio muislamu. Akitubu Allaah atamsamehe. Katika hali hiyo unaweza kuendelea kuishi naye. Vinginevyo utafute mwengine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
Imechapishwa: 23/07/2017
https://firqatunnajia.com/mke-daima-anaswali-alfajiri-baada-ya-kuchomoza-jua/