Swali: Je, mke anayo haki ya kumtaka mume wake mfanyakazi wa kike wa nyumbani akiwa ni muweza na pia anahitaji?
Jibu: Ndio. Akiwa anahitaji na wanawake mfano wake wanao wafanyakazi wa nyumbani, inafaa kwake kutaka hilo. Kwa sababu kufanya hivo ni katika matangamano mema.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
- Imechapishwa: 22/06/2023