Swali: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa kukhusisha siku tatu au siku arubaini kwa ajili ya Da´wah?
Jibu: Da´wah isiwekewe kiwango cha masimu maalum. Hili halina dalili yoyote. Ni Bid´ah. Mtu asiweke kiwango.
Mtu atoke ikiwa uko na elimu. Kuhusu mjinga hatakiwi kutoka kwa ajili ya Da´wah. Ikiwa uko na elimu na unaweza kuwalingania watu katika dini ya Allaah toka pasi na kuweka kiwango cha masiku, miezi na kadhalika. Haya ni Bid´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
- Imechapishwa: 24/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)