Swali: Ikiwa katika nchi ya kikafiri kuna mji ambao unajulikana kuwa na Ahl-us-Sunnah wengi na wamekusanyikana katika mji huo. Je, mji huu unakuwa mji wa kufanyia Hijrah (Daar-ul-Hijrah) kwa haki ya yule ambaye hakuweza kufanya Hijrah katika nchi miongoni mwa nchi za Kiislamu?
Jibu: Hapana, hauzingatiwi kuwa ni mji wa kufanyia Hijrah. Kinachozingatiwa ni kiongozi. Ikiwa mji huo kiongozi wake ni Muislamu, unazingatiwa kuwa ni mji wa Kiislamu hata kama ndani yake kutakuwa makafiri. Ama ikiwa kiongozi ni kafiri, haijalishi kitu hata kama Waislamu ndio watakuwa wakazi wake wengi, hauzingatiwi kuwa ni mji wa Kiislamu.
Lakini hata hivyo ni mwenye kupewa udhuru ikiwa hajaweza kufanya Hijrah. Aishi katika nchi ya kikafiri kiasi cha udhuru tu.
[Vilevile] unakuwa ni mji wa Kiislamu ikiwa kiongozi anahukumu kwa Shari´ah. Huu ndio mji wa Kiislamu. Ama ikiwa anahukumu kinyume na Shari´ah, huu ni mji wa kikafiri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ikiwa katika nchi ya kikafiri kuna mji ambao unajulikana kuwa na Ahl-us-Sunnah wengi na wamekusanyikana katika mji huo. Je, mji huu unakuwa mji wa kufanyia Hijrah (Daar-ul-Hijrah) kwa haki ya yule ambaye hakuweza kufanya Hijrah katika nchi miongoni mwa nchi za Kiislamu?
Jibu: Hapana, hauzingatiwi kuwa ni mji wa kufanyia Hijrah. Kinachozingatiwa ni kiongozi. Ikiwa mji huo kiongozi wake ni Muislamu, unazingatiwa kuwa ni mji wa Kiislamu hata kama ndani yake kutakuwa makafiri. Ama ikiwa kiongozi ni kafiri, haijalishi kitu hata kama Waislamu ndio watakuwa wakazi wake wengi, hauzingatiwi kuwa ni mji wa Kiislamu.
Lakini hata hivyo ni mwenye kupewa udhuru ikiwa hajaweza kufanya Hijrah. Aishi katika nchi ya kikafiri kiasi cha udhuru tu.
[Vilevile] unakuwa ni mji wa Kiislamu ikiwa kiongozi anahukumu kwa Shari´ah. Huu ndio mji wa Kiislamu. Ama ikiwa anahukumu kinyume na Shari´ah, huu ni mji wa kikafiri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mji-wa-kiislamu-wa-kuhajiri-kwa-mujibu-wa-al-fawzaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)