Mjane anataka kumsaidia mwanae aliyezaa

Swali: Inajuzu kwa mwanamke mwenye kukaa eda kwenda kumtembelea msichana wake ambaye amezaa karibuni?

Jibu: Bora zaidi ni kumwacha yeye aje. Kawaida ni kuwa wanawake wamezowea kuzaa nyumbani kwa mama zao. Yeye ndiye anatakiwa kuja kwa mama yake. Mama asiende kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020