809 – Aliulizwa kuhusu baadhi ya wanawake kula udongo kipindi cha ujauzito?

Jibu: Hapana, haifai. Ni kitu kinadhuru.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
  • Imechapishwa: 17/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´