Miongoni mwa mambo yaliyoshamshangaza Ibn Baaz

Nimefikiwa na khabari hivi karibuni kuwa kuna mwanamke alichumbiwa, naye akatoa sharti kuwa mchumba wake amuoe pamoja na rafiki yake. Hili ni kati ya mambo ya ajabu, kutokuwa na wivu kwa mke mwenza (30/6/1414).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 188
  • Imechapishwa: 06/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´