Swali: Kujengea minara ni jambo lina msingi katika Shari´ah?
Jibu: Ni alama yenye kuonyesha msikiti. Kadhalika Mihraab. Ni jambo ambalo daima waislamu hulifanya.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
- Imechapishwa: 24/05/2019
Swali: Kujengea minara ni jambo lina msingi katika Shari´ah?
Jibu: Ni alama yenye kuonyesha msikiti. Kadhalika Mihraab. Ni jambo ambalo daima waislamu hulifanya.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
Imechapishwa: 24/05/2019
https://firqatunnajia.com/minara-juu-ya-misikiti/