Swali: Je, mtu ailambe mikono yake ikiwa ina chakula?

Jibu: Ailambe kama iko na chakula.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28703/ما-المشروع-في-لعق-اليدين-على-الطعام
  • Imechapishwa: 24/04/2025