Swali: Katika mji wetu kumeeneza madhehebu ya Shiy´ah [at-Tashayy´u] na unaswara. Unatunasihi nini? Tunaomba utuombee du´aa Algeria ili Allaah atuondolee balaa hili.
Jibu: Ni juu yenu kulingania katika dini ya Allaah, kubainisha, kutahadharisha juu ya kuacha Sunnah na kwenda katika madhehebu ya Shiy´ah na kuacha dini ya Uislamu na kwenda katika unaswara. Ni juu yenu kulingania katika dini ya Allaah na kuwabainishia watu. Uongofu uko kwenye Mikono ya Allaah (Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15201
- Imechapishwa: 28/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)