Mgahawa bora kabisa inachoma nyama kutoka nje ya nchi

Swali: Kuna moja katika migahawa bora kabisa upande wa usafi inauza nyama zinazotoka nje ya nchi. Je, napata dhambi nikila katika nyama hizi zinazotoka nje ya nchi?

Jibu: Kiache kile chenye kukutia shaka na kiendee kile kisichokutia shaka. Ikiwa unazitilia shaka nyama hizo usile.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 18/07/2024