Mfungaji ameliona jua baada ya kufungua katika uwanja wa ndege

Swali: Pia mtu aliyefungua hali ya kuwa amefunga akiwa katika uwanja wa ndege, kisha ndege iliporuka akaliona jua, hali ikoje?

Jibu: Hilo halidhuru, kwa kuwa tayari amekamilisha siku yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31581/ما-حكم-من-افطر-بالمطار-وراى-الشمس-بعد-الاقلاع
  • Imechapishwa: 06/11/2025