Swali: Ikiwa ninampenda mtu kwa ajili ya Allaah ni katika Sunnah kwenda nyumbani kwake, nigonge mlango wake na kumfikishia ujumbe huu?

Jibu: Nyumbani kwake, barabarani au msikitini. Si lazima iwe nyumbani. Ukimfikishia ni vyema. Mwambie ”Nakupenda kwa ajili ya Allaah.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29292/%D9%87%D9%84-%D9%8A%D8%B3%D9%86-%D8%A7%D8%AE%D8%A8%D8%A7%D8%B1-%D9%85%D9%86-%D9%8A%D8%AD%D8%A8%C2%A0%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87-%D9%81%D9%8A-%D8%A8%D9%8A%D8%AA%D9%87
  • Imechapishwa: 31/05/2025