Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuitwa “mtumishi wa Allaah” (خادم الله)?

Jibu: Hapana. Allaah hahitajii mfanyakazi. Suufiyyah ndio wanaoitwa ´ibaadah kuwa ni “huduma” (خدمة), bi maana ni huduma wanamfanyia Allaah. Si sahihi. Allaah hana haja ya mfanyakazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2018